Recent content by FredyMafusho

  1. F

    Msaada wa mkwamo kwenye laptop

    Kaa Vp shusha window yote piga Window mpya huenda ime corrupt
  2. F

    Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    #Hapa kazi tu,hiiiii Tanzania yetu ni shamba la bibi watu washapiga gesi mapema leo mnatuambia tukanunue umeme Ethiopia kweli hamna uchungu na nchi,Mawazo ya Ccm hayana future tuwaruhusu na upinzani watupe mawazo mapya huenda wakawa na maono mazuri ya kuondokana na mgao wa umeme,Tuweke siasa...
  3. F

    Inawekana mtu kupata magonjwa ya zinaa anaposex na wachawi?

    Inaonekana unapenda kula mizigo ya kichawi,Angalia Ipo Cku watakuja na wanaume wakugeuze nyuma ukazani ndo hao uliozoea kujipigia bao,kumbe ndo ukawa unafumuliwa marinda.Usiamin uchawi mtangulize Mungu Hamna mchawi wa kukusogelea.
  4. F

    MwanaHalisi: Kikwete akomba hazina! Fedha zilizopo hazitoshi kuendesha serikali hata siku 20

    Bado hata dagaa zitapanda bei kikombe buku2 ili tukome C ndo mboga yetu Watanzania,hili litakua fundisho Ili tujue ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni
Back
Top Bottom