Recent content by fredy mgendi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Hapo kwenye maandishi mekundu ina maana kwa wanachuo wote au wanaotoka nje ya nchi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napenda kutambua aina ya kozi niliychaguliwa.

    Asanteni kwa ushauri wenu ingawa wengine mnatumia shida za mtu kumfanya aonekane wa ajabu,,,kiufupi mm ni mwajiriwa kwenye kada ya ualimu kwahyo nilipoomba ckuangalia kuja kuajiriwa ila ndo hivo nitakomaa,,,,,
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napenda kutambua aina ya kozi niliychaguliwa.

    Ni kweli mm ndo niliomba ila niliomba koz nying lakini ikatokea wakanichagua kwenye hii koz ndo napebda nipate ufafanuzi ili ikiwezekana nikifika nipambane kubadilisha koz
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napenda kutambua aina ya kozi niliychaguliwa.

    Habari wana jf mm nimechaguliwa udsm kozi ya bachelor of education in educational psychology sasa ningependa kutambua hii kozi inatofautiana vp na koz zingine za elimu kama Baed ,bed n.k ,msaada plz
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Asante wana jf
  6. F

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Naomba kuuliza chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy ni cha serikali au private na vp kuhusu ada za masomo ya ualimu kwa degree
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kurudia maombi ya chuo

    Msaada tafadhali mwanzo niliomba vyuo first round sikubahatika kuchaguliwa nataka kurudia tena second round swali lang nitarudia kulipia tena kwa vyuo ambavyo niliomba mwanzo?
Back
Top Bottom