Nashauri kila anayehusishwa na uhujumu wa namna yeyote wahojiwe wazi mbele ya waandishiwa habari ili uchumi naisha bora ya kila mtanzania yaimarike au tutoe tender duniani tz inatafuta nchi au kampuni kutuendeleza na kutusimamia..shame on us
pole sana mh.rais ugonjwa ni ugonjwa but kama umefanya operation kwa wakati huu sababu ya kutafuta kura ya huruma yasijadiliwe yaliyoibuka pl's come back face it uyamalize mi naamini unaweza ukayaweka sawa yote haya BECOUSE TUMEKUPA POWER USE IT MR.P , tumia power yako kumrithisha anayefaa bila...
mpmpo unawapoteza watu kwa chuki binafsi kwanza kwa kukufahamisha mimi sina chama ila naunga mkono baadhi ya sera za vyama na baadhi ya wanasiasa tena wachache sana kwa tanzania yetu, zitto ukimpnga unajitia aibu wala usikae kwenye kikao au baraza au labda wasiotaka kuelewa chadema imepara...
umefika ule muda wa kuchafuliana kikwelikweli mzee XX na master mind wako JIANDAENI na mh.XX na wenzako wenye NIA YA URAIS FILE NDIO ZINAFUNGULIWA kila siku kaeni pembeni.. inaTosha mshauza nchii, haina dira hata somalia wakitulia leo kesho watakuja kuwa wawekezaji wetu sio wakimbizi mbali...
alioki founder pruducer na director wa kipindi maaruf zamani kitimoto cha television kilikuwa kinatangazwa na pascal mayala nakumbukumba hiki ndicho kilikuwa kinaogopwa na viongozi wengi wa serikali bring it back man huyu jamaa sijamsikia tena yeye wala vipindi vyake wala hata kutajwa kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.