sante mkuu
kwa upande mwengine mwanamume anaweza kukawia kumpeleka mwenziwe madhabauni au kufunga ndoa kwa sababu ifatayo
1. kutukua na imani na mwenzie > baadhi ya wanamausiano wanakuaga wanavulugu za chini chini sasa mtu alie timamu upenda kuvuta subila maana hujipa himani uenda msimu ujao...
habali zenu wakuu,
napenda kujua hivi huyu mdudu " vunja chungu " anaweza kumdhibiti kweli gecko / mdudu jamii ya mjusi ? na je anatumia sumu au nguvu tu maana yeye mwenyewe uzito wake tofauti na mjusi
naombeni kujua kama anayo sumu au lah?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.