Naanza kuwatahadharisha watanzania wote, baada ya uchaguzi mkuu tusilaumiane:
Nimeona wasanii sasa hivi wanajikomba CCM, baada ya uchaguzi ndio watagundua kwamba serikali bado haiwajali, Tusilaumiane!
Naona bado kuna wakinamama wenye shida za kutupwa, bado wanasema CCM ni nzuri, baada ya...