Recent content by Fredrick Ojija

  1. F

    Kifo cha mwandishi wa Channel Ten: Kauli za Polisi na mwitikio wa Wanahabari

    Polisi wa ccm wanajanja yao ya kuthofisha nguvu ya umma hasa ktk M4C, kamwe hawata weza hasa wanatupandisha hasira ili siku moja nasi tuwarudi..
  2. F

    Kifo cha mwandishi wa Channel Ten: Kauli za Polisi na mwitikio wa Wanahabari

    Lawama za kuuwawa kwa mwandishi huyo wa habari zisitupwe kwa CHADEMA kabisaaaaaa ila ni asikari polisi wasio kuwa na uvumilivu na kutumia bunduki na risasi kama karanga..hawajui matumizi ya silaha ni wakati gani na sababu zipi! Jeshi la polisi ni hoivyooo sn.
  3. F

    Kazi hizoooooooooo...

    mwneye vigezo apply, wape pia wenzaka taarifa...kazi za kumwaga ndugu zangu
  4. F

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    kama hawezi kufungua kwenye cm anaweza kwenda cafe maana mtu atoapo link ya kazi anasaidia alengi tu watumia cm. Acheni watu waweke link na pia kama anaweza kuatach hizo kazi si mbaya kaka
  5. F

    Madaktari na walimu pamoja na watumishi wengine wa umma cdm ndio jibu

    kweli kaka, tatizo watanzania kubadilika imekuwa taabu sn. il nawamba sn Watz watambue Tz ya leo haiwezi kuendelea na mawazo na ilani za CCM bcoz are out of date na hazina manufaa ya kujenga nchi wala kuboresha maisha ya watanzania.
  6. F

    Scholarship for Women and people with disabilities

    Jaman watanzania kuna sponsor kwa ajili ya wanawake na wale wote wenye ulemavu kusoma hapa nchini, Tafadhali mjulishe ndugu yako afungue website ya Utumishia http://www.utumishi.go.tz au http://www.utumishi.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=269&Itemid=88
  7. F

    Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

    :eek2: Mwalimu wa tanzania anamisha mabaya sana kulinganisha na kada nyingine..tuwaunge mkono jamani tuweke siasa pembeni
  8. F

    Mukoba: Mgomo wa walimu ni halali na umeanza leo hii!

    Wadu naombeni kuelewa kuhusu mgumu wa walimu tanzania ni haki yao kugoma au sio? Kwa mtazamo wangu naona ni haki yao na pia waendelee kugoma tena ikibidi tuwaunge mkono wapate masilahi yao kwa manufaa ya elimu bora kwa vizazi vijavyo.
  9. F

    Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

    kweli kaka wabunge hasa kiuna mama wanapiga vigelegele bungeni kisa tu mbunge fulani kapigwa dongo..huo ni ujinga na kutolieshimu bunge na wapiga kura wao..wakuteuliwa ndo wamezidi maana hawana wanae muwakilisha...kiti cah kupewa
  10. F

    Kazi Mpya TANAPA changamkeni wale wote wenye SIFA

    Wambie wote waombe wasikate tamaa maana hii ndo Tanzania ya leo
Back
Top Bottom