Unajua hata kama tungesema ccm, ingetaka kutawala kama cpc (communist part of china), ccm ingepaswa iwe inaiga mambo ambayo ni threat kwa china elite, mojawapoya hayo macangamoto ambazo ni kubwa ni internal stability, any social unrest, ni kitu cha kukijali kuliko threat nyingine. Propaganda...