Recent content by FredKavishe

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri Tuwekeze Ndege za Mizigo

    Nashukuru mada hii imefufuka tens baada ya majadiliano ikulu kati ya Raisi na wafanya biashara
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Kuna hati za halali kabisa na Raisi anazijua kwenye barabara hii zipo zaidi ya 81 zimetolewa kiuhalali miaka ya nyuma. Kwanini vipande vingine walipwe hiki wasilipwe kwanini?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Lakini si maamuvi ya aina hii
  4. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Sawa anao uwezo lakini si kwa njia ya kuonea wapiga kura wake Usiwe na hati ya nyumba kama utapewa hata mkopo bank ina umuhimu wake tena mkubwa sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    wengine mpaka matatizo yawakute ndio akili zinarudi
  6. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    kwahiyo kodi inakusanywa na serikali mbili sio
  7. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Kabisa lazima tujali utu kuna wengine wanafanya kebehi sana humu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    watu na Hati halali za ardhi toka 1964 wewe hujazaliwa unasema hawajafuata sheria wamepewa building permit na serikali hii labda serikali waliopewa sio ya Tanzania wakalipia kodi za majengo Ardhi bado unadai hawafuati sheria
  9. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Inawezekana kabisa una majibu yako kichwani mwako sababu unashawahukumu wakazi wote walipata pesa kwa kuiba na rushwa njoo na id yako halisi ili ujue uhusika wa Raisi labda useme Kimara mpaka Kiluvya iko Congo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Mkuu umeongea ya maana ni janga kubwa sana
  11. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    hujamaliza soma uzi wote ndio maana unakurupuka angali hapo juu kama baadhi ya wakazi hawana hati halali za makazi na wanazilipia kodi
  12. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    hajawahi kukuta wewe angalia hapo juu kuna wananchi wanazo hati miliki za ardhi kwanini serikali ilitoa hizo hati miliki,kwanini serikali iliwapa ruhusu na hati za kujenga,kwanini serikali ilipokea kodi stahiki kwenye hayo maeneo
  13. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Raisi ndio kiongozi wa Jamuhuri ya Muungano Kiwanja unaweza uziwa na mtu yoyote lakini mpaka ukipata hati halali ina maana serikali imekukubali,ukapata kibali cha kujenga ina maana serikali imeona umuhimu wako. Kwahiyo Tanroads ipo chini ya serikali kuu Raisi anaingia moja kwa moja
  14. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    sasa wazee wa miaka 65 unawapeleka wapi angalia hiyo video inasikitisha sana
  15. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la ubomoaji kuanzia Kimara mpaka Kiluvya, Rais Magufuli tunaomba usikie kilio chetu

    Inasikitisha zaidi wakazi wa hati halali za maeneo husika na wanalipa kodi za majengo
Back
Top Bottom