Recent content by fredism

  1. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu Dkt. Gwajima, huyu “Anko T” Wizara yako imeshindwa kabisa kumuweka sawa?

    Umezungumza kwa uchache ebu tufafanulie vizuri anko T kaolewa na nani pia Shilole na Batuli wanausikaje na hii mada
  2. F

    JamiiForums Tanzania Haji Manara rudi kwa Watu wote uliowakosea tena hasa hasa narudia tena hasa hasa Mo Dewji kwani LAANA yake inakumaliza na unaelekea kubaya sana

    Zungu pori lina kiburi na jeuri za kishamba linajiona toto la mjini kumbe mapenzi yanalitesa jinga sana ilo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo orodha ya Majiji, Manispaa, Miji na Halmashauri 65 zenye mzunguko mkubwa wa fedha ukianzisha biashara hapa, kutoboa ni lazima

    Makusanyo kupitia mapato ya ndani inawekwa kwenye revenue account
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba Vs Wazee wa Yanga, Wazee wa Simba wanaujua mpira na wanaongea point

    Wazee wa utopolo wanamtegemea Manara
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC msiingie katika Mtego mbaya ambao Haji Manara anataka Kuwaingizeni kwa Chuki zake na Karia na kutafuta Sifa na Uungwaji mkono Wenu

    Naunga mkono hoja hasa ya kujifanya kila marehemu alikuwa mtu wake wa karibu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Vita ya madhabahu: Pale falme mbili zinapotunishiana misuli

    Kwahy gari aliyozawadiwa ilikuwa na walakini
  7. F

    JamiiForums Tanzania Vita ya madhabahu: Pale falme mbili zinapotunishiana misuli

    Mshana umeeleza kwa uchache ebu tupe maarifa zaidi kwann kachoma moto gari na inahusiana nn na kafara la moto
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kilichowafurahisha Yanga nini siku ya kupanga makundi hadi wakashangilia?

    Walishindwa kusoma alama za nyakati
  9. F

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aki-perfom usiku wa Tuzo za CAF

    Show mbovu daaah ukute kalipwa zaidi ya 500m kwa dk 8 tu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Uchunguzi kuporomoka kwa jengo Kariakoo yazinduliwa

    Tutasikia mengi kwenye kamati hii mana Kariakoo ni kitovu cha maovu Tanzania nzima
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukitajirika haraka haraka omba Mungu usipate msiba wa ndugu wa karibu

    Fafanua vzr mkuu imekula kwake kivip maana kifo hakiepukiki au watafilisika
  12. F

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya amshusha kwenye gari na kisha kumkaba Saimon Mkondya (Mr Manguruwe)

    I'm konk konk konk master
Back
Top Bottom