Hayapo na wanaendelea kufany utafitii, ni vyema mkaharakisha kama serikali , ila kama raia na mlipa kodi naomb kuhoji mna fanya utafiti wa kitu ambacho mmekiri kuwa hakipo?
Mara nyingi stories za wasanii na watu maarufu zimekuwa jambo la kawaida lakn ukwel zina tufundisha sisi vijana kuishi kwa utaratibu unaopaswa na kuonekana ni wema, maana haya yanawakuta wenye nguvu kiuchumi je wewe, na mimi tukifika uzeeni tutaweza kukabiliana na vita vitakavyo ibuka. Jifunze...
Ni kwann serikali isione ipo haja ya kupambana kuweka umakini na nguvu kubwa ktk miradi midg midg inayoanzishwa ktk mazingira ambayo ni kwaajili ya kutoa huduma bora , nasio bora huduma.
Matukio haya yanailazimisha serikali kuja kuzalisha migogoro midg midg mfano mimi mwananchi , ninatafuta...
Mheshimiwa Stergromena Tax mama makini na mwenye ucheshi ktk kazi makini umesema na kuongea ktk mazingira ya kimsingi na kijamii kwa nyanja Pana sana kongole mama Mungu akujalie binti shupavu kama wewe Mheshimiwa , maana umri ni namba na haziongopi ukifika wakt bas ainuke malkia kama wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.