Recent content by Freddie Matuja

  1. Freddie Matuja

    Rostam Aziz alikuwa Mtunza Hazina wa CCM wakati wa Mwenyekiti Ben Mkapa hivyo anaijua CCM kuliko Komredi Polepole hata Magufuli alimuahidi Ubunge!

    RA hakuwa Mtunza Hazina CCM wakati wa BWM. RA alikuwa Mweka Hazina CCM wakati wa JK. Secretariat ya kwanza ya JK akiwa Mkiti Katibu Mkuu Lt. Yusuph Makamba N/Katibu Mkuu Bara Capt George Mkuchika Katibu Itikadi na Uenezi Capt. John Chiligati Mweka Hazina RA. Kama sijamsahau, Mweka Hazina CCM...
  2. Freddie Matuja

    Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

    Balile asitake kutosha media wakati ukweli unajulikana. Uchawa wa media (na sasa umefananishwa na toilet paper) ulianzishwa na genge la wana-mtandao (Boys II men). Media ilitumika kuwainua wana-mtandao kwa vipande vya fedha na kuwakandamiza washindani wao. Deo Balile akiwa chawa wa EL tokea...
  3. Freddie Matuja

    Wakati CCM wakitumia kodi za Wananchi kwa starehe zao na wizi, Miradi ya Maji Kanda ya Ziwa yafadhiliwa na Wajerumani na EU kwa zaid ya Tril. 4

    Haiwezi kuwa ufadhili, lazima utakuwa mkopo wenye riba ndogo. Mzungu/Mchina/Mwarabu/Mhindi hajawahi kutoa ufadhili wa zaidi ya USD 1.0000.000. Ufadhili utaona wamejenga choo, wamejenga vyumba vya madara. Ila mradi mkubwa kuzalisha na kusambaza maji wa thamani kubwa ya fedha ni mkopo nafuu na...
  4. Freddie Matuja

    Katika Historia :Sakata la padre Tweve na uasi dhidi ya kanisa katoliki Tanzania

    Wewe ndio uko sahihi, aliekuwa Ubungo sio mbali kutoka Mabibo Hostel/Azania Wheat Miller ni Father Nkwera Alileta "uamsho wa kilokole" - Pentecostal Revival hasa kwa wakatoliki
  5. Freddie Matuja

    Watanzania tujifunze kuukubali Ukweli hata uwe Mchungu Vipi. Hili la Wasomi kusoma VETA japo Chungu, ndio Ukweli Wenyewe!

    Paskali, huu mjadala umekuja wakati muafaka ila kuna maswali ya msingi ya kujiuliza, kuna karakana (workshop) na vifaa (equipment) za kujifunzia? Kuna walimu/technicians wa kutosha kuendesha hizo training? Kuna mtu mmoja ali-define training as directing the growth of something through...
  6. Freddie Matuja

    Wenje: Tulikuwa Tafrijani na Abdul ila sikuwa namfahamu alipotambulishwa tu nikakumbuka Madai ya Tundu Lisu tukaanza mazungumzo!

    Huyu jamaa ni mwingi sana. Na jinsia ambavyo kau-package uongo wake na tabia yake ilivyo, inashangaza kawezaje kuwa mwenyekiti wa Kanda ya ziwa. Unakutana na Abdul kwenye hafla, mnabadilishana namna, hapo-hapo anampigia simu TAL kuhakiki madai yake? Within a very short time wanaweza kuaminiana...
  7. Freddie Matuja

    Mjue Sir Ernest Vassey: Waziri wa fedha wa kwanza Tanzania

    Orodha ya mawaziri wa Fedha ardhi ya +255 tokea tupate uhuru https://www.mof.go.tz/administration/previous-ministers
  8. Freddie Matuja

    Wakati Kesi ngumu ya kutumbuliwa DP Gachagua nchini Kenya imesikilizwa kwa Siku 30, Kesi nyepesi ya Ubunge wa Mdee na wenzake imesikilizwa kwa miaka 5

    Jibu ni jepesi sana. Angalia gov interest kwenye kila outcome. Kuna shauri lilipelekwa mahakamani na activists (akiwamo wakili Wangwe) kutaka tafsiri ya kisheria kuhusu nani ana mamlaka ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa kati ya Waziri wa TAMISEMI au Tume Huru ya Uchaguzi. Sheria mpya...
  9. Freddie Matuja

    Pawepo na Orodha ya Wanasiasa Wote na Matendo Yao Ili Wajukuu waje wavihukumu vizazi vyao hadi Cha 4!

    Njaa ilimfanya Essau akauza urithi wake wa uzaliwa wa kwanza kwa kiapo kwa sahani ya dengu. Haya majizi yalioyo kwenye uongozi yanajua wapiga kura wana njaa na wananunulika. Kwa kuwa bei inafahamika, ndio tabu imeanzia hapo. (Pata picha hata viongozi wa dini wanahongwa magari na machangizo...
  10. Freddie Matuja

    Kipi kikubwa au kikuu kati ya kitambulisho cha Taifa(NIDA) na passport?

    Tanzania yetu bila NIDA hupati passport, hufungui kampuni BRELA, hupati leseni ya biashara, haupati usajili wa line ya simu. Na kuna mabenki, bila NIDA hufungui account. Passport ni kama kifaranga litokanalo na yai (NIDA)
  11. Freddie Matuja

    Sioni sababu ya Tundu Lisu kuzuiwa na UVCCM kwenda kuweka taji la mauwa kwenye kaburi la Shujaa Magufuli

    Una hakika kazuiwa na UVCCM au ni wale jamaa wale ambao haya wewe unawajua wasipotaka haiwi??😊
  12. Freddie Matuja

    Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

    Mtoa hoja angeseka wazi mchango kwenye pato la taifa kwa hiyo mikoa ya wabunge waliosoma ni kiasi gani? Tuweke rejea Kilimanjaro/Tanga ukilinganisha na Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora na Shinyanga?
  13. Freddie Matuja

    Kinachodaiwa kuwa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo ni mazingaombwe yaliyotengenezwa kumngo'a mkuu wa TRA Kidata

    Aliondolewa hadhi ya ubalozi na kufutwa kazi ya ubalozi na JPM. Akateuliwa kuwa RAS (Mtwara).na huyo huyo JPM. Baada ya SSH kuingia, akamteua kuwa boss wa TRA kazi ambayo alifanya Dr. Philip Mpango kabla ya kuteuliwa kuwa waziri wa Fedha
  14. Freddie Matuja

    Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

    Ukisoma history vizuri suala la Chama tawala na chama cha upinzani ni fikra za kutokujua uhalisia wa mambo. https://en.wikipedia.org/wiki/President_of_Zambia Ukipitia Wikipedia ya office holders utaona toka Kaunda mpaka sasa Zambia imepitia mabadiliko ya vyama vinee. Hivyo kuna haja ya...
Back
Top Bottom