Recent content by FRED MAGANGA

  1. F

    JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    HICHO KITENGO KINGEZUIAJE HAYO MAFURIKO? KITENGO KINAENDA SITE BAADA YA TUKIO!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Asiyetakiwa ni Waziri Mkuu Majaliwa, kila kitu kimepangwa, ajiandae kuachia ngazi

    HAPO NIMEJARIBU KUKUELEWAA!
  3. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pumzika kwa amani Lt. Gen Benjamini Msuya

    NAKUMBUKA ALIKUWA MKUU WANGU(CO)LUBILI BARRACKS KAMPALA 1979/80.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    MTOA HOJA AJIBU KWANZA HAYO MASWALI YALIYOULIZWA.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Unatenga muda wa kuweka simu pembeni na kupumzika?

    UMEANZA VIZURI NA LUGHA YETU, HAPO ULIPOBADILISHA SASA Mmmmm,UNGEENDELEA TUU NA KISWAHILI.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    HIZO BUS MARA ZOTE HUPITA KAHAMA SAA 5.30 ASUBUHI AU SAA 6 MCHANA.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

    KATIBA MPYA YA NINI NG'WANAWANE,HII ILIYOPO INATOSHA.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

    MALIZIA BASI STORY YAKO PART VII, NI TAMU KWELIKWELI.
  9. F

    JamiiForums Tanzania DSTV na Watangazaji feki wa kombe la Dunia!

    WE UMEJARIBU KUTANGAZA?UNADHANI NI RAHISI?WAACHE WATUPE HABARI,SI LAZIMA WAKUFURAHISHE WEWE.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Fukufuku ya PhD za michongo Tanzania. Tunamkumbuka Ben Saanane

    BEN ANGEKUWEPO SAHIVI ANGEFANYA NINI!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

    Hapo ndio kwenye tatizo,amesambaza Mchungaji,Polisi,Daktari na au Na Mchungaji?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ruvu shooting leo wanamfunga mdomo utopolo

    RUVU HAWEZI KUMFUNGA YANGA KWA SASA.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Makarani wa Sensa si mmepewa hela ya kula? Kwanini mida ya saa 7 hadi Saa 9 mnapenda kung'ang'ania katika nyumba moja tu?

    Wafanye kazi waliyotumwa kufanya,wasianze kufikilia kupatiwa fadhila,hali ni ngumu kwa sisi wote!
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Weka Mishahara ya kada ya Afya,uone hiyo D1 ikoje!
Back
Top Bottom