Recent content by franksaitoti

  1. F

    JamiiForums Tanzania Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

    Mimi Nadhani mtanisaidia lakini Huyu pole pole huyuuu atakuwa na Matatizo sana lakini tujue nani yupo nyuma yake?
  2. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea Urais wawe wabunifu kwenye hotuba zao, waache kurudia rudia sera zao

    Ni siku chache zimepita tangu Kampeni za kutafuta Kura za Urais, Ubunge na Udiwani wanapokuwa katika majukwaa wanakuwa wanarudia sana Sera zao ambazo nyingi zimezungumzwa awali na watu wengine Ushauri wangu wawe wabunifu zaidi watasikilizwa na hatimaye watapata kura za kutosha
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo

    Huyu Mwalimu kikwazo sana
Back
Top Bottom