Hivi hiyo gharama waliyoingia kujaza mafuta na kuanza kuzunguka manispaa kufanya doria si wangewaacha wafanye mkutano alafu wangewalinda badala ya kuwawinda
Baadhi ya walimu waliogoma katika manispaa ya morogoro wataenguliwa katika zoezi la sensa ya watu na makazi inayotegemewa kuanza kuanzia jumatatu wiki ijayo. Zoezi hilo limefanyiwa kazi kwa kutumia ripoti za walimu walioripoti kwenye vituo vyao vya kazi tarehe 31/07 na 01 / 08 ambapo waratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.