Recent content by franklyn1995

  1. franklyn1995

    Full information kuhusu landmark hotel as hostel

    Jamani nilikuwa naomba kwa member yeyote wa jf ambaye ana full infos kuhusu landmark hotel amabayo sasa imegeuzwa kuwa hostel.....accomodations fee pamoja na other expenses infos please
  2. franklyn1995

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Brother hapo kuna tofauti kati salary tax na pesa ya mfuko wa jamii...salary tax ni kwamba kodi ya mshahara ambayo huchukuliwa na serikali alafu iyo ya mifuko ya jamii inakatwa pia kwenye mshahara ambapo after retirement au kujitoaa lazima apate coz ni pesa yake na c ya serikali
  3. franklyn1995

    CAS(central admission system) SERVER TEMPORARY DOWN

    Im so sorry if am mistaken lakini since jana jioni CAS server iko down..sasa admin nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu yeyote mwenye altenative way to help...!!!
Back
Top Bottom