We jamaa jau sana kwanini humanities, hao viumbe wanapenda kutafutwa, wanajisikia wako mikono salama, sababu yako ya kutomtafuta ni nn?? we ndo mwenye makosa, omba msamaha then badilika mzee
Mkubwa ikifikia hatua unaanza kufanya maamuzi yanayowachukiza wengine ujue ndo umeanza kutumia akili kwenye kufanya maamuzi yako,kuwa muwazi kwake,akuletee juice pale tu ambapo unahitaji au umeweka oda,simple namn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.