Recent content by franklelo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Msaada (live stream)

    Msaada kwa mtu anaye jua software au njia ya kufanya connection kati ya reporter anaye taka kurusha matangazo live from field to ONAIR studio... Equipment alizo nazo field: 1.pc 2.soundcard 3.mixing console 4.wireless mic
  2. F

    JamiiForums Tanzania Course ya broadcast Technology inapatikana chuo gani?

    Wana JF Nina shida ya kujua chuo gani kinafundisha maswala ya broadcasting kwa upande wa technician. Radio transmitters, links na vingine vyote
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta short course ya kufunga minara au broadcasting technology

    Unaweza kufanya brief kidogo mkuu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta short course ya kufunga minara au broadcasting technology

    Asante hii kazi imetokea nimeipenda baada ya kuifanya kwa muda mfupi
  5. F

    JamiiForums Tanzania Short course gani ilibadili maisha yako?

    Natafuta short. Course ya radio transmitters au ufungaji wa vifaa vya radio kwa studio na mnarani
  6. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta short course ya kufunga minara au broadcasting technology

    Wana JF nna shida ya kujua sehem gani au chuo(short course) gani naweza kwenda kujifunza maswala za broadcasting technology based kwa radio transmitters issues au single course ya ufungaji wa minara..
Back
Top Bottom