Pole sana kwa changamoto unayopitia na mtoto wako. Kutonyonya vizuri mchana kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa, kama vile usumbufu wa mazingira (kelele, mwanga mwingi), uchovu, au hata kipindi cha ukuaji (growth spurt) ambapo wanabadilika kitabia.
Jaribu haya:
✅ Tafuta mazingira tulivu –...
Iko hivyo, kulombewa haijalishi umeoa nani msomi au ambae sio msomi… ila hao anaowatetea mfano wa form 4 unaeza mla kipusa kwa kumpa ata smart yako ashangae shangae tu.. au ata ukimfungulia akaunti ya tiktoko akakutunuku🚮🤲🏽
Takataka ni yeyote tu haijalishi elimu… Maana hao ambao hawajasoma nao kuna kanamna ni rahisi sana kuwatongoza wakakubali haraka haraka(wengi wao) ata wakiwa kwenye mahusiano🤔💔
Tena usiombe usubiri kindege kipande useme labda ikifika odds 50 natoka halafu inapasukia kwenye arobain na kitu. Ata kama ni 2000 umeweka unaanza ninge ninge😂😂🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.