Hivi hawa wanaosema tunawasumbua kwa kupost mambo ya matokeo,wao hawakupitia huko?Kama tunakuboa acha kuzisoma na fanya yako unayoyaona ni muhimu kwako kwani sisi tunaona la muhimu ni matokeo.
Nawashangaa hawa wanaodai wamefeli eti kwa sababu ni waislam,hivi kama ulikua unashinda madrasa utafaulu kweli?au ndo mnataka kutuletea udini hadi kwenye elimu tena ambayo haina mtaala?
me nafikiri jf sio ya kujuana kidini na necta pia hawajui dini ya mtu,kama hukusoma unakesha kanisani au madrasa hilo ni lako na familia yako.Usiseme eti umefeli kisa muislam huo ni ujinga ambao hauna nafuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.