Recent content by frank urassa

  1. F

    Huyu Ridhiwani ninani???

    Ridhiwani no mwanasheria mahiri hapa nchini nafikiri chili nijibu sahihi kwa mtazamo wangu.
  2. F

    Ikulu yaitisha mkutano na wanahabari Jumapili - Jan 19, 2014

    Ni taarifa rasmi niliyoipokea mimi mwenyewe kuwa Kesho jumapili tarehe 19 January kutakuwa na mkutano wa wanahabari Ikulu jijini Dar. Mkutano utafanyika saa tano kamili asubuhi. Haijaelezwa nia haswa ya mkutano huo lakini huenda Rais akautumia kukata mzizi wa fitna kuhusu Cabinet mpya. Stay...
Back
Top Bottom