Hiyo ni rushwa kwanini wahimizwe kupanda magari kama ni wapenzi kweli si waende wenyewe?aibu kwa chama kikongwe tipia Picha ya hao wanaotangaza video tushuhudie
Chambua uhalisia ndg yangu hii team lowassa imejipanga ona yameguswa machache tu kuelezea mapungufu ya ccm na utashuhudia mengi na kwa uelewa Wa watanzsnia Wa LEO mabadiliko yaja bila pingamuzi kampeni na porojp za ccm watu wameshazijuwa MAGUFULI HAWEZI KUTAWALA PEKE YAKE SO WALIOMZUNGUKA NI...
Mimi siyo ndioooo! Nataka kuungana nawe kwa point tusisahau kuomba hawa ccm mungu awape moyo Wa uvumilivu watuachie nchi salama wanavyoonekana baada ya kuchokwa hivi watataka wapigne wavuruge amani tufanye ibada tuiombee nchi yetu mfano MDOGO kwa jinsi walivyokumbatia rasilimali pesa madini na...
Nyie ccm mnawweseka mini waacheni wanainchi wafanye maamuzi mwacheni lowassa watanzania tunajutambua kudanganywa na nyie ccm BASIIIIIIII jiandaeni kuwa chama cha upinzani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.