Recent content by Frank Msambila

  1. Frank Msambila

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga mbwa ambaye hana madhara wala sio wa urembo

    Nauliza. Nataka kufuga mbwa lkn hasie na madhara wala sio kwa urembo wa sebuleni. Awe normal wa nje mwenye kucheza cheza na upendo. Sipendi mwenye manyoya mengi sana kwasabab ya usafi. Naombeni ushauri wa jina la Mbwa. Na ikiwezekana sehemu ambazo anapatikana
  2. Frank Msambila

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya upauaji wa nyumba sqm 150

    Nakupigia ndugu
  3. Frank Msambila

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya upauaji wa nyumba sqm 150

    samahan kwa kuwapotezea muda. mi ni kijana ambaye nimejaribu kuanza kibanda changu lakini kwa bahati mbaya ramani ya paa imepotea. na nimeshafika ujenzi wa juu wa matofari mda kidogo. nyumba yangu ina wastan wa 150sqm. kama natumia bati za kupima za araf hafu nina bajeti ya milion 6 inakuaje? au...
Back
Top Bottom