Makamu mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mh Patrick Olesosopi jana aliwashangaza wananchi wa kifugaji katika kijiji cha Sipiriwei kata ya Ngorika Simanjiro mkoani Manyara.
Mh Ole Sosopi ambaye yupo ziarani mkoa wa Manyara akiwa ameongozana na Mh Frank Oleleshwa mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa...
Mkuu nimesoma andiko lako lakini nilicho gundua wewe huna mapenzi mema na Chadema.
Andiko lako limejaa chuki, majungu na uwongo uliokidhiri, na nitaeleza kwa nini nasema hivyo,
UWONGO WA KWANZA.
Mimi ni mzaliwa wa Simanjiro, mwanachadema na katibu wa Wilaya ya Simanjiro Chadema na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.