Unatengeneza incubator au unahitaji kuboresha incuvator yako. Tunakuletea vifaa muhimu kwa ajili ya kutengeneza incubator yenye ufanisi.
✅ Temperature & Humidity Controller (XK-W1099 na STC-3028)
✅ Temperature Controller (XH-W3002)
✅ Temperature & Humidity Reader (FY-12)
✅ Humidifier Mistmaker...
"Hili si boksi la kawaida. Ndani yake kuna mamia ya vifaranga ambao bado hawajaanguliwa."
Niliposema maneno hayo mbele ya kundi la wafugaji waliokuwa wamekusanyika sokoni, baadhi walitabasamu kwa dharau.
Mmoja alicheka na kusema,
"Kwani boksi linawezaje kuzaa kuku?"
Mwingine akaongeza,
"Hizi...
Kuna jambo moja ambalo wafugaji wengi wanaoanza kufanya utotoleshaji wa mayai kwa incubator za kutengeneza wenyewe hulipuuza, lakini ndilo linaloamua kama mayai yatatotolewa au yataharibika.
Watu wengi huamini kwamba ukishakuwa na box, bulb na mayai basi tayari una Incubator.
Huo ndiyo mwanzo...
VITU TISA
Kutotolesha mayai si kuweka mayai kwenye boksi lenye taa joto, kama ambavyo Wengi wanajaribu kufanya na kusubiri siku 21:
Tengeneza mfumo.
Ni vitu tisa.
Kwa sababu hapa, tunatengeneza mazingira yanayoleta uhai ndani ya mayai ya kuku, na uhai una tabaka,
na kila tabaka hutaka...
Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini.
Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu. Kitu kinachoonekana cha kawaida, lakini madhara yake ni makubwa sana.
Kuna mfugaji mmoja, alikuwa...
WAFUGAJI WENZANGU, TUJIFUNZE PAMOJA
Moja ya sababu kubwa zinazofanya mayai yasitotolewe vizuri siyo mara zote sababu ni mayai mabovu, wakati mwingine
ni KUKOSA UDHIBITI SAHIHI WA JOTO NA UNYEVU NDANI YA INCUBATOR.
Hapa ndipo kifaa kimoja muhimu sana kinapokuja kusolve hili tatizo:
XK-W1099...
Siri kubwa ya kutotolesha mayai kwa mafanikio siyo tu kuwa na incubator – ni kuhakikisha joto (temperature) na unyevu (humidity) viko kwenye viwango sahihi na vimebalance muda wote.
Wakuu habari za majukumu,
Kwanza nianze na maelezo mafupi kuhusu incubator – ni kifaa kinachotumika kutotolesha...
Ni kweli kabisa kaka, hawa wabunifu wa zamani walifanya mambo makubwa kwa mazingira waliyokuwa nayo 👏
Sisi tunaendelea pale walipoishia — tumeongeza teknolojia kidogo tu kama digital controller, lakini lengo ni lile lile: kusaidia wafugaji kupata vifaranga kwa uhakika.
Asante kwa kuchangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.