wanaodhihaki wako mbali sana na historia!! haijalishi ni cdm au lah ila historia iko wazi watanzania nasi tunaelekea kukamilisha hilo, anguko la ccm wala halipingiki, ufalme wao umekwisha tunasubiri muda tuu! kinachofanywa na cdm leo hii ni kuwaandaa watanzania waichukue nchi yao baada ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.