ata me nawashangaa kama wamechakachua vile kwa sababu watu tulikuwa wachache wameshindwa nini kuwaita watu....wanautapeli nn..haiwezeka miezi mitatu ndo uitwe kwenye usaili alafu tena mpaka sasa miezi miwili tena hawajaita kwa ile interview ya tantrade kazi moja miezi 5 bado hakieleweki mpaka...
we wakirudia ndo utapata kazi ....interview sio class na ndo mana huwa kuna comon interview qns kwa private sector zote...ni utaratibu na ni lazima utumike vilevile ata wakirudia mara mia cha msingi wanangalia uwezo wa m2 bimafsi na sio kujibu kwa kukremu
wanajamii forum me ningependa sana moja kati ya hawa wafuatao awe rais nchini mwetu...umuhimu na uhitajikaji wao umejipanga kwa list.
1.EDWARD LOWASSA
2.James Mbatia
3.Migulu Nchemba
4.January Makamba
Huo ni mtazamo wangu tu wa kuitakia Tanzania bora 2015..au nyie mnaonaje kwa upande...
poa kk naomba unisaidie kwa hilo ukirudi naomba utupie picha za hayo majina coz wengine tupo mbali sana hatuna acess ya magazeti kwa ss...nitashukuru sana ukutupia apa
wanajamii forum kwa mtu anayefahamu mshara(gross salary) wa banking officer exim bank ni shilingi ngapi kwa mtu anayeanza kazi mara ya kwanza naomba anijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.