Recent content by Francisco bashasha

  1. Francisco bashasha

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    hivi ikitokea kuna gari langu lilikua linashikiliwa na polis afu nakuta wananchi wamelichoma nani atanilipa?
  2. Francisco bashasha

    JamiiForums Tanzania Tv flat 32' LG nahitaji pesa yoyote

    hiyo ni bei ya LED tv kwa samsung sio smart tv sijui lkn ila angalia bei zilizopo kwa wauzaji...ila kama unapewa na risit kabisa na tra wanachukua vat yao bei ndo hiyo au ikipungua kidogo sana
  3. Francisco bashasha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

    labda kushinda njaaa
  4. Francisco bashasha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika kazi bado ipo, nimeshangaa kwamba Tanzania bado ni koloni la Ujerumani

    kila kitu kina negative effects ..... hata dawa unazo kunywa pia zina negative effect zake... ko unacho pima ni faida ..kma umesoma uchumi au japo kupitia maswala ya kiuchumi kwa umakini utakua umepata picha ya ninacho ongea..mfano una eneo lako kama hekari moja una options mbili kulima mboga...
  5. Francisco bashasha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

    Wanatusumbu vichwa vyetu tuu
  6. Francisco bashasha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

    Nyie jengeni wale wenyenywele laini na visura vya kuchongokawaje kubomoa???
  7. Francisco bashasha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa kuzuru Kenya ili kujadili mfumo wa treni za mwendo kasi Nairobi

    dawa yenu wale jamaa wenye vinywele vilaini na viuso vyembamba
  8. Francisco bashasha

    JamiiForums Tanzania Tv flat 32' LG nahitaji pesa yoyote

    mimi nina tcl smart tv 32'' nilichukua kwa 585tsh pia ipo tvx 32'' nimeichukua kwa 350tsh ko siku hizi brand sio ishu sana ishu ni contents
  9. Francisco bashasha

    JamiiForums Tanzania Tv flat 32' LG nahitaji pesa yoyote

    laki tatu kwa 32'' bora mpyaa
  10. Francisco bashasha

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifaa vya salooni ya kike

    mwenye vifaa vya salooni ya kike naomba aje pm....with reasonable prices
Back
Top Bottom