Sawa mkuu..ila kwa bahat nzuri nlipata mtu tyr ndo maana nliondoa mawasiliano yangu na aliekua intérested alinitafuta tukaongea maana kwa maandishi pia ni kaz kuwasilisha full details lkn shukuran nlifanikisha kupitia hapa hapa jf.
454..wazo lake binafsi nmelipenda kwa kusisitiza tu utafiti ni muhimu mkuu katika sekta ambayo unajiona ww upo vizuri pia km una profesional fulan unaeza fungua biashara inayoendana na proffesional yako sababu utakua unaijua vizur zaid na utaalam nayo pia ...upande wangu mm nijihusisha na...
barmaid asikutishe pia ana pesa nyingi sio za halali pia aez kukwambia kua anadanga bila kumuona...ww muone tu mtaan anapeta behind the scene anajua mpig picha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.