Recent content by Francis ole Rikanga

  1. F

    JamiiForums Tanzania Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

    Badala ya kushangaa na kumlaumu Trafic bandi ss tupate funzo kuwa maaskari wetu wa usalama barabarani ni wala Rusha mpaka jamii nayo kuona ni sehemu ya kuigizia ili kupata chochote.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Jamani kama wazazi na kama wadau wa Elimu katika Tanzania nani anajua ni Ruzuku kiasi gani inatolewa na serikali katika shule yako aidha ya Msingi au Sekondari na je mtoto wako kama anasoma huko anapata kiasi gani kwa mwaka?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    CCM wakubali katika hili wakae kitako wajiulize wamekosea wapi then wajirekebishe warudi wanjani 2015 kwani kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi. by ole Rikanga.
Back
Top Bottom