Recent content by francis miatherathini

  1. francis miatherathini

    Je, uliwahi kuachwa na mpenzi wako na akakufanyia kitu ili akukomoe ila leo hii anakutafuta?

    Ni ngumu saana mtu kubadilika na akibadilika usimuamin kirahisi mpe muda wakutosha utajua mbivu na mbichi
  2. francis miatherathini

    Niko njia panda, ushauri tafadhali

    Hamna future hpo jikimbilie mapema.....na unakoenda usijechukulia poa mtu wako kuchat n ex wake
  3. francis miatherathini

    Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

    Hapo cha muhimu bro ni kuangalia malengo yako yamefika wapi...kama yamefika stage ambayo inaruhusu ....tafuta mtu ila muda wa kudate inatakiwa uwe conscious saana usichukulie poa ht kitu kiwe kidog saana na jipe mida wa kutosha ubaya au uzur wa hyo mtu utaujua tu kama ukijipa muda wa kutosha mtu...
  4. francis miatherathini

    Amani imetoweka kwenye ndoa yangu kisa kukosa mtoto

    Pole sister sali kwa imani Mungu anasaidia
Back
Top Bottom