Recent content by francis makweta

  1. F

    Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo

    Naamin watanzania tutaendelea kupata ma prof. mchwala mpaka pale njaa zitakapotuisha,mfano mzuri ni kitila huyu hawezi kuchambua,au kuchangia mada bila kuangali ni upande upi ana maslah nao,bila kujali kufanya hivyo anaweza kuwa anasigina weredi wa taaluma yake.ukweli wa tz wanahitaji mabadiliko...
  2. F

    Mgombea mwenza wa CCM aendeLea kukiuka taratibu

    m2 alieshindwa tumpeleke post wa nn?wakati vichio tunavyo au maharage yanakusumbua?
  3. F

    Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    makamanda mbaya wetu sio dr,ila ni kale kamaza,tukiingia magogon tutamtafutia mshauri wa kike mzuri,then tutampa kitengo.
  4. F

    Mwenezi wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma na Mtwara wajiunga na CCM

    Tupo wengi wacha wapungue tujinafasi
  5. F

    Maandamano ya CHADEMA ya Wafuasi wa Dr. Slaa Jijini Mwanza

    Ccm wanapiga mark time,na wameshidwa kila njama,sasa the hage inawasubiri
  6. F

    CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    mimi sijamdharau dr.wangu,najua anahitaji majibu,ila kwa sasa naelekea kuswip pale magogon then ntakujibu,au kama vp tuongozane niwe nakujibu huku natembea ,sory mambo mengi.
  7. F

    Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    natamani ningempata kama yy lkn ndo hvyo nimeula wa chuya,
  8. F

    Ubungo na Kibamba, Magufuli na wabunge wake hawapati kura

    vote means proportional to ukawa and aganst ma ccm
  9. F

    Rais Kikwete kuzindua ujenzi wa reli mpya ya kisasa

    Take this craz to hospital
  10. F

    Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    Huyu jamaa amepanga safu ya hatari ya kwenda kuwamaliza majambazi ccm,ameifananisha tim yake ya ushindi na barcelona tim ya mpira wa miguu.mfumo wake ni 4,5,1 huu mfumo,unashambulia kwa kasi kama umeme,huu mfumo una viungo makini sana,na wanauwezo wa kutoa pass za mwisho kama mvua,na bila shaka...
  11. F

    Mipango ya UKAWA imekuwa mizito sana, Dr Slaa rasmi kesho Jangwani

    pia nmezpata newz like dat kutoka kwa m2 wa karibu na doctor,
  12. F

    Kingunge Channel Ten: Demokrasia ndani ya uchaguzi wa ndani CCM

    huyo mzee cjui wa aina gani wakati mm nikiwa chekechea mwaka 85 alkua ni waziri wa mipango ya ghafla,wakati npo primary akawa wazri asie na wizara maalum,npo secondari nasikia niwazri wa wizara ya maafa,npo chuo nasikia anafisad pale ubungo terminal,sasa hivi nmekua mzee bado yeye anang'ang'ana...
  13. F

    Hotuba za Rais Kikwete ni worthless papers, kama unabisha sikiliza ya Mei Mosi

    lakin maendeleo kafanya mfano mzuri ni kiasi cha dhahabu iliyouzwa nje kwa kipindi chake kinatosh a kugharamia bajet ya tz kwa miaka 5.
  14. F

    Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

    Kibonde is almost dhaifu,akili zake na maneno yake the same.wa nn huyo?
  15. F

    Chama cha Wanasheria kufungua kesi mahakamani kudai kutenguliwa kwa miswada ya Petroli na Gesi!

    Munahangaika bure hiyo hukum itatoka wakati ww umeshakufa,jambo la mbolea ni kuandamana nchi nzima.
Back
Top Bottom