Recent content by Francis fares Maro

  1. Francis fares Maro

    Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

    Tumia akili na Maarifa yako vizuri unaweza kuonekana Mpuuzi na wakati wa kurekebisha umekupita kama huna Kazi za kufanya omba upewe ajira Ndugu yangu hizi aibu Ndogo Ndogo zikupite
  2. Francis fares Maro

    Wale wahamasishaji wa Forex kupitia Twitter wameshaunguza account ya mtu huko

    Hapa ndipo mnapo onekana matapeli sasa!!... Wakati watu wengi Wana lalama kupigwa wewe Una sema Una fundisha na uliowafundisha wanafanikiwa kama Jeff Mwenzako ana wapiga wenzake huko!!..Alafu ana account fake kibao kwenye mitandao [emoji23][emoji23]!!...Jeff wakati flani kuna Tapeli Mwenzake...
  3. Francis fares Maro

    Wale wahamasishaji wa Forex kupitia Twitter wameshaunguza account ya mtu huko

    Kwahiyo hasara kwenye biashara ni kawaida sana [emoji23][emoji23]
  4. Francis fares Maro

    Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Pascal mnaonekana wajinga!!..majina ya viti maalum yapo lakini hayakupelekwa kwasababu gani?!...Hawa sio viti maalum kwanini wamepeleka majina yao?!!..Nani alifanya haya?!!..
  5. Francis fares Maro

    Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Zitto Alikua Mbunge wa kupigiwa Kura na wananchi?!!.. Gharama za Uchaguzi Unajua?!!..
  6. Francis fares Maro

    Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Anaenda wapi kama yeye hakustahili kuwa viti maalum anaenda wapi kama yeye pia alishiriki kuteua viti maalum ambao hawapo Bungeni?!!..hivi unaweza kuhoji kuna Mahabusu gani anatolewa Gerezani 2 Usiku?!!..unajua hichi ni nini?!!.. Nadhani Halima anajua zaidi kuliko Ndugai?!!
  7. Francis fares Maro

    Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Waambie serikali ilikua inajua Chadema inaenda kuwa fukuza hawa na ubaya wa hili hadi watu wa Tume ya Uchaguzi walikuwepo mpaka wakati wa hukumu hii!!!..watu wamesahau Kauli ya mama hivi Karibuni!!.. wanadhani mama anataka nini?!!..
  8. Francis fares Maro

    Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

    Hilo ndio watu wanashindwa kuelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Francis fares Maro

    Kufukuzwa kwa akina Mdee ni dili

    Hii uongo kuna mambo ya chama ambayo hata Lissu Tu hajui sembuse Mdee!!..Nakurudisha Kwa Slaa aliwahi kuwa Mbunge na Chama kikamkataza asiendelee alipwe mshahara wa Ubunge na malupulupu yote,akawa Katibu mkuu,Akapewa nafasi ya kugombea Uraisi!!..Na bado hakuwahi na haijui Chadema!!
  10. Francis fares Maro

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Umekosea sana hapa!!.. Vyovyote ilivyo jamaa kaongea ukweli kabisa sasa wewe ungekua kweli unafanya biashara hii Kwa muda mrefu usingekuja hapa kubishana na kushambulia!!..Sasa hivi kila mtu anajua kuagiza magari Rafiki hizo bei ulizo weka ni za madalali hawajui bei zikoje na hawa miliki Magari!!!..
  11. Francis fares Maro

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Na bei kubwa ameweka bei ya Scania used
  12. Francis fares Maro

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Umemjibu vizuri sana
  13. Francis fares Maro

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Wewe ndio hujui watu hizo km zinaongezwa au kupunguzwa alafu unajifanya unajua biashara ya Magari wewe wa ajabu kweli kweli wewe
  14. Francis fares Maro

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Huyo hajui kitu lakini anajifanya anajua hiyo fuso bei kubwa sana
Back
Top Bottom