Recent content by franchize

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    Kwa sababu tu hawajui(wamekariri) kwamba kwa points hizo hizo unaweza kwenda jeshin,nursing etc kwahio unataka kuniambia na walim wenye bachelor nao wamefeli?kama ndio walifikaje chuo?ni kasumba tu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    Una uhakika mkuu? Ebu toa figure hapa tulinganishe!! Unaongelea mshahara au posh?!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    Midogo ukilinganisha na mshahara wa nan?mishahara ya serikalin haijapishana sana tatzo kwa walim hamna posh wala pesa za wizi(dili)
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    Kasumba ya kwamba walim wamefeli haina mashiko,kuna kozi nying watu wanajoin na marks za chin sana,journalism,accounts,procurement na baadh ya kozi za afya,vyeti vya magumash vipo kila sehemu jeshin,polis had bungen mbona hao hawadharauliwi?nadhan tatzo ni walim kutojiamin,kujikubali na kuwa na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Sera mbaya za Access Bank Tanzania zasababisha wafanyakazi kukimbia

    Wanaanzia sh.ngap kwa cashier? Ebu tujuze tafadhali?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Sera mbaya za Access Bank Tanzania zasababisha wafanyakazi kukimbia

    Kwan bachelor ulipiga kozi gan mkuu?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Sera mbaya za Access Bank Tanzania zasababisha wafanyakazi kukimbia

    Kwan bachelor ulipga kozi mkuu?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Najuta kumlipia Kajala mil 13

    Kwan pesa alitoa nan mkuu?ebu tujuze nas tupate ukweli
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nataka nikasomee Health Records and Information Management

    Mkuu wanahitaj sifa zipi hapo na wanatoa certificate au diploma
  10. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu wa kubadilishana kutoka nyamagana au ilemela kwenda sengerema halmashauri(mjini),idara sekondari nauli ya uhamisho ipo,mawasiliano 0712905698
Back
Top Bottom