Recent content by Franceluhuku

  1. Franceluhuku

    Tasnia ya ufundi wa magari imejaa watu wasio na elimu, wasomi tunakwama wapi?

    Kweli na kuna watu wamesoma veta wako vizuri, msomi wa degree akijipambanua na kuacha ubishooo akakubali kuchafuka oil daaah tungekuwa na wataalam wa kuunda magari yetu .
  2. Franceluhuku

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Saf sana Rais Jpm kwa uzalendo wako kwa taifa la tz
  3. Franceluhuku

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Hapo bado mambo makubwa zaid eee Mwenyenzi Mungu wa mbingu na nchi sikia kilio cha watz
Back
Top Bottom