Recent content by France Noel

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hii kweli ni haki...?!!!

    Njia pekee ninayo ifahamu mimi ni maandamano,ambayo nguvu ya uma ndio itakayo weza kufanya usiku kuwa mchana.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hii kweli ni haki...?!!!

    Njia pekee ninayo ifahamu mimi ni maandamano,ambayo nguvu ya uma ndio itakayo weza fanya siku kuwa mchana.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mke wangu pls!

    sawa mkuu nitafanya ivyo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mke wangu pls!

    sawa mkuu nitafanya ivyo
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mke wangu pls!

    nashukuru kwa kunifumbua juu ya kurusha siku,ila mwezi mgeni katika mambo hayo. Pia ndio mbia yake ya kwanza toka tuwe kwenye ndoa takribani miaka 4
  6. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mke wangu pls!

    Salamu nyingi zikufikie hapo ulipo. Dhumuni langu na shida yangu kuu ni kuomba msahada wa mawazo na kitaalamu. Kunatatizo limemtokea mke wangu, kwani linapelekea kunichanganya mimi na yeye pia. Kwa kifupi nikwamba;tulikuwa tunategemea kupata mtoto, nibaada ya yeye kuniambia anahisi mabadiliko...
  7. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    Nashauri viongozi wetu watuongoze katika kuing'o ccm kabla ya 2015,kwa njia ya mapinduzi kama ilivyofanyika nchi nyingine za africa.Kwasababu inashindwa kutekeleza majukumu yake kama serikali,wanachokifanya zaidi ni usanii na masiala mengi kwa wananchi wake.Kwa haya yanayoendelea umu ni zaidi ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Nimezipata account kama 4 anazotumia bwana lukosi nyingine ongezeni wenyewe lukolo ze marcopolo lukosi busar.. ....,
  9. F

    JamiiForums Tanzania Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Nimezipata account kama 4 anazotumia bwana lukosi nyingine ongezeni wenyewe lukolo ze marcopolo lukosi busar.. ....,
  10. F

    JamiiForums Tanzania Maggid Mjengwa: Kuhusu mimi kumfahamu Ludovick

    Mjengwa vp mambo yamekwisha kuwa magumu ingali bado mapema ivi! Mbona gaidi mkuu bado hajakamatwa ila anaendelea kupiga stori na polisi.Pia nasikia polisi wanamuogopa kutokana na kijani yake na jina la chama chake nasikia siku izi kinaitwa chama chama magaida=ccm! Siunafaha staring auwawi ila...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya kima cha chini ikitangazwa, maisha yatapanda zaidi

    <br /> <br /> wanajaribu kuchakachua maandamano ya m4c. Siunafahamu wanafunzi,wafanya bihashara,wafanyakazi wa kada zote,wazazi na watu wote wanapaswa kuwepo kwenye maandamano ya chadema yaliyo chakachuliwa.Kwaiyo wanajaribu kuwagawa watu ili kuhujumu maandamano ya m4c. Nawasilisha.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya kima cha chini ikitangazwa, maisha yatapanda zaidi

    Nasikia kwanzia mwisho wa mwezi wa4 wataanza kulipa mishaara mipya! Naomba mnirekebishe kama nimesikia vibaya.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Heshma yako mkuu zitto.Nakutakia kila la khery katika ujenzi wa chama chetu. Ila nakuomba zingatia ushauri mzuri waliokupatia wanajukwaa,kazi kwako kuchuja upi mzuri na unaofaa kwa chama chako na viongozi wenzio katika ujenzi imara wa chama chetu cha CHADEMA. Pia jaribu kujiweka wazi u pande...
Back
Top Bottom