Ifikie kipindi ungozi wa chuo na serikali husika, wakae chini ili kutatua matatizo ya wanafunzi, haiwezekani migomo kila sku, kuna tatizo tena kubwa! inasikitisha sana kila siku wanafunzi wamefukuzwa chuo je tutafika? hata mkuu wa chuo kama si shinikizo basi nae achunguzwe vizuri.wanafunzi...
dogo acha uoga hakuna kazi nyepesi katika maisha, na kmunataka ulaini nenda posta kalambe stamp, umenipata? au kafanye kazi ya laana ya kuokota chupa za uhai.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.