Recent content by foxplato

  1. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    Lakini huo ni MJADALA wa KISOMI katika Mazingira hayo UCHAMA unatoka wapi ndugu?? pia ilo tangazo linasema yeye atakua ni mwenyekiti wa Mjadala sasa hizo data atazipika katika mazingira gani???
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

    binafsi SIMTETEI Magufuli, ila unavyo sema Rais Magufuli hashauriki UMEWAHI KUMSHAURI AKAKATAA?? au kuna Kiongozi wake yoyote aliye wahi mshauri Rais akakataa ushauri wake?? tuacheni maneno ya mitaani, maneno ya kusikia hayana ishu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    ww ni muhusika wa kibiti nini?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    mashaka yako nini? Polisi wa TZ wapo vizur sana, usije ukaomba kukutana na moto wao mkuu
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    ww unacho taka kujua hapo ni nini haswa?? au HUKUPENDA majambazi kuuwawa??
  6. F

    JamiiForums Tanzania UCHOCHEZI? Mbunge Cecil D. Mwambe(CHADEMA) ashikiliwa na Polisi Mtwara

    juu hiyo vip?? wapi??
  7. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    Acha mijadala ifanyike tujue tunakosea wapi ili tuendelee kama Taifa
  8. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    haaaa aaaaa haaaaaa Nyoka alambi ungaa, hapo HAMNA HATA KUMI chezea JPM weye
  9. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    toa mifano basi ya mifumo mibovu tuliyoirithi ili tusaidiane kuelewa
  10. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    Mkuu nimekupata vizuri sana
  11. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    kwa nn huna imani na Mukandala??
  12. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

    kwa nini unasema Tz inanafasi ndogo katika maendeleo ya Afrika???
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    haaaaa ndo kusema mzee baba mgonjwa??
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

    yan hujaelewa au?
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

    Umechambua vizuri sanaaaa yani umetoa bonge la shule
Back
Top Bottom