Wana Iringa habarini,
Vipi ukuaji wa huu mji, mzunguko wa pesa, uchumi na hali ya kibiashara mjini hapo.
Nafikiria kufungua hardware mjini pale, ushauri na muongozo wenu utaniokoa.
Hello wakuu,
Nimepata idea ya business, Nafikiria kuagiza na kuuza mashuka ya quality, ukubwa na design tofauti na kuyauza kariakoo.
Niambieni, nishaurini, nikosoeni,
Je niko sawa? Mzunguko utakuwa mbovu? Au iko bomba?
Karibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.