Fuatilia uzi unaoenda kwa title ya "mambo Gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu apoapo" soma comment zote za mtu anaejiuta "jidu la mabambani" naamin utapata kitu
Kuna uzi mo
Kuna uzi Moja humu humu jamii forum Kuna mtu alikua anaeleza jinsi Mwenyezi Mungu anavyotutendea, ivyo akataka wadau waeleze vile Mungu kawafanyia maajabu Kuna mtu kwenye maoni yake ameeleza hii, kua mke wake alikua na tatizo kama hili wakapitia misukosuko badae wakapata daktar...
Ukianza biashara ikawa inatoka vizuri mzigo hauchukui mda unaagiza tena wale wanaojumuisha wao wenyewe wanaanza kukushawish uchukue mzigo mpya ulipie ukishauza, Aya mambo yote utayakuta ukishaungia kwenye mfumo
Bila ata kujipendekeza kwa supplier wanakutafuta wenyewe, unatakiwa kuingia kwanza...
Hey we mkaka mbona kama unajikatisha tamaa mwenyew, acha kuwaza mitaji Anza na ichoicho ulichonacho, apo kwenye hardware ulikua na shingap ambayo uliona haitoshi?
Ngoja nikupe summary kidogo Mimi nimemaliza chuo mwaka Jana nilikua na mil Moja tu kesh na pia Kuna mtu nilikua namdai lak tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.