Recent content by Forwward

  1. F

    JamiiForums Tanzania Rais au mbunge atakayepita kwa njia ya rushwa au kuiba kura msitegemee maendeleo

    Kuna mbunge mmoja siku za nyuma aliwaambia wananchi wa jimbo lake kwamba wasimdai maendeleo kwa sababu alipata ubunge kwa pesa zake. Hii ndivyo ilivyo kwa uongozi ambao umepita kwa njia ya kuiba kura na rushwa bila ridhaa ya wananchi hawataweza kuwaletea maendeleo wananchi badala yake watalipa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Atakayechaguliwa kuwania urais kwa tiketi ya CCM ndiye Rais wa Nchi

    Nimemsikia Nape akiongea na Star Tv kwamba watakeyemchagua pale DODOMA ndiye raisi wa nchi yetu ya Tanzania wengine wote ni wasindkizaji tu akimaanisha UKAWA. Ninajua wamesema hata kwa mkono watafunga goli. Watanzania tutafanya nini hata kama hatupendi CCM tuna ubavu wa kuitoa. Mechnism yao ya...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Leo nimeitwa mwehu, mjinga na mpumbavu, huku kunakoitwa kutongoza kunaelekea kunishinda

    Ukiamka usinzi, ukilala uzinzi. Yeye kasoma sana bro wewe ndiye ujaenda shule. Mimi ninaona hayo aliyokuambia ni machache tena amekuhurumia tu angweza kukutegea mtego mbaya sana, Pole sana rudi shule ukasome.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimuoe nani kati ya shemeji yangu na mchepuko?

    Ndugu yangu wewe haupo salama mpaka hapo ulipo. Usipoangalia tutakukosa na utamfuata mkeo sasa hivi. Mambo mawili uyafuate. Muishie Mungu uwe salama au mchukue mchepuko uwe salama., Kama ni kweli alihusika na kifo cha mke wako pamoja na kwamba hatuna ushahidi ila ukisoma ile thread yako kuna...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Ninaomba tu rafiki yangu msamehe bure na amejifunza na sasa atkuheshimu sana. Mke wa kwanza ukimwacha utapata mwingine kama huyo. Msamehe msamehe na maisha yataendelea.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Uzinzi ni chukizo mbele za Mungu. Tubuni na kumrudia Mungu na kama hamkufanya hivyo hukumu ya Mungu inawasubiri. Ushauri ni kwamba kama umelala na mwanamke na ana laana zake nawe unakuwa sehemu ya laana zake.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya mdogo wa marehemu mke wangu na mchepuko wangu nimuoe nani?

    Tahadhari. Kuna kaka yangu alikuwa na mchepuko na mke wake akafa kwa mazingira ambayo hayakueleweka na mchepuko akachukua makao upesi sana. Tunaishi katika nyakati za ushirikina mwing amini usiamini ndivyo ilivyo na with this competition ya wamama kutafuta wanaume ni rahisi sana mchepuko wako...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nimemtafutia kazi sasa anakataa kutoa penzi kwa bosi, mimi nimfanyeje?

    Ninakushangaa sana kwa huo ushauri. Ni afadhali akauze vitumbua na Mungu atambariki tu lakini hasikubali huo ushenzi. Why people are like that. Unfortunately tunaishi katika kizazi cha laana. Biblia inasema wazinzi wote shimo lao ni Jehanum ya moto. Wewe unafikiri atakuwa amefanikiwa kwa kutoa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Unabii Wa LEMA kwa Samuel Sitta Waanza Kutimia, Tujikumbushe

    Sita alishaharibu alipotaka kuanzisha chama. Kwenye tano bora ni vigumu kupita
Back
Top Bottom