Recent content by foramen

  1. F

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Noooo....amepata Meals and accomodation (MA) tuu....ada inabid ajilipieee
  2. F

    Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kimeongoza kwa kudahili wanafunzi wengi mwaka huu

    Inaitwa bandika bandua Hyo 23000 ilikuaa before finalist kuondoka Kwa continuing 23000 haifiki Kwahyo idadi ya wanafunzi itakua ina range pale pale .. Hakuna tatizo kwenye swala la miundo mbinu
  3. F

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Usajili huwa unaisha saa 10 jion...ila nivizur ufike chuo ujishikizee kwa mtu halaf asbh na mapema uamkiee kwenye usajili
  4. F

    Vyuo vimeamua kucheza rafu: TCU iweni makini.

    Sio muhimu sana.. Muhimu ni mawazo yako.
  5. F

    Vyuo vimeamua kucheza rafu: TCU iweni makini.

    Kuna matatizo mengi sana Kuna rafiki yangu wamemuweka kweny orodha ..et hajathibitisha chuo chochote wakat alishathibitisha tayar
  6. F

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Hawa jamaa wanatuchanganya akili zetu ..wamesema watatuma control number UDOM SR lkn mpk sasa bado....au kwako mwenzangu tayar
  7. F

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Yaaan hapo ilikua changamoto kuelewaa.. Ila nilisikiaa hyo unalipia ambulance kwa case emergence
  8. F

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Ada ni 700000 Hostel au accomodation fee imejumuishwa kwenye direct cost . Direct cost inavitu vifuatavyo: -accomodation fee -medical fee -registration fee -examination fee Jumla ni 268750 Utatakiwa kulipa ; -quality assuarnc-20000 -student organization fee -10000 -bima ,kama huna kadi ya...
  9. F

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Kama unataka kujuaa loan breakdown status tembelea www.udom.ac.tz
  10. F

    Kuna mtu kapata mikopo mara mbili batch1 & batch 2. Hii ni haki kweli

    Kama limetokaa mara mbili Awasiliane na wenye pesa zaoo Laasivyo atarudisha mkopo mara mbili
Back
Top Bottom