Kama ulipanda hii gari ukiwa mdogo punguza kula chumvi, sukari na nyama nyekundu.Na Pia Nawaambia Vizazi Viipya Hili Gari Ni Peogeut 404 Miaka ya 1964/69 Lilikua Likiuzwa Tsh.3000/= Mpaka 3500/= Mpyaaaaa !🫵[emoji2534][emoji38]. Bei ya kilo moja ya sukari au bia moja na maji makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.