Inaendelea...! Shemale wa kwanza nilikutana naye pale masaki Wantash Club nakumbka cku hyo ilikua ijumaa nilienda kuluka debe maaneo hayo...! Kiukweli mim ni chiz music nikiwa club.,,! nadhan ndio sababu hyo shemale akawa karbu yangu coz aliniomba tucheze..! Tukaluka debe had mida ya saa nane...
Uzi ulikua mkali sna aisee umenivutia sna nikikumbuka majanga yangu hapa daah..! hadi mwenyewe najiogopa..! nawaza nin kilinisukuma daah..! nagundua ni ulimbuken wangu wa kutowajua wadada mapema. Huezi amini hadi nafikisha umri wa miaka 25 nilikua siijui na wala sijawai vua chupi ya msichana na...
Mim ndo kiboko yao hao ukishajua ni tapeli ww jifanye boya zaid huku ukitafuta mbinu ya kumpiga yeye. ila usimpige zaid ya elfu 20 kwan nao wajanja hawachelew kugutuka mfano: mim nilikulaga 20 yao kizembe tu mpaka wenyewe wakacheka..! Mchongo ulikuaga hiv walinivutia waya wakanipa dili la madawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.