Elimu bure with no teachers, no teaching materials,no apparatus for scientific practical jaman hapa kwenyew alikurupuka bas iyo elimu bure yenyew alipaswa kuwapa watoto wa walalahoi angalia sasa Leo mwanafunzi unamwambia atoe walau 100 ya test anagoma anasema free education nin kitatokea...
Ni kweli waungwana magufuli anania njema na maisha ya wananchi ila kibaya anachofanya tena kidogo sanaa ambacho hata ambao hawajasoma wanayaona moja ya mambo hayo ni kumkingia kifua bashite pa1 na uharifu aliofanya
Alikuwa mtangazaji wa TBC alitoka TBC akawa msemaji wa SIMBA kipindi hicho ndipo Luis sendeu ambaye naye alikuwa mtangazaji wa TBC akawa msemaji wa yanga
kwa mwanamichezo mwenye kutafakar anajua fika kuwa malinzi ni yanga damu lakin kwa sababu manji alimfukuza katibu wake wa yanga tff nayo ikasubir kipind cha uchaguzi kikafika ndipo wakamwekea figisu manji ili asipite toka Lin uchaguz wa klabu usimamiwe na tff so niseme kwamba kupita kwa manji...
Samahan ndugu zangun wana jf mim utawala wa magufuli naufananisha na utawala wa berishaza katika biblia,berishaza alipolewa madaraka akamkosea mungu vivyo hivyo magufuli amelewa madaraka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.