Recent content by focaltz

  1. F

    JamiiForums Tanzania MAMA SAFELIFE - Kifaa cha Wanafunzi wa MUST cha Kusaidia Uzazi salama

    Watu wengi wamekuwa wakiuliza bei. Kwa sasa bado tupo kwenye majaribio, lakini lengo ni iwe ya bei nafuu iweze kufikiwa na wengi vijijini.
  2. F

    JamiiForums Tanzania MAMA SAFELIFE - Kifaa cha Wanafunzi wa MUST cha Kusaidia Uzazi salama

    Nashukuru. MAMA SAFELIFE - Kifaa cha kufuatilia afya ya mama na kutoa alert mapema. Tunapokea ushauri na ushirikiano wenu. Tazama: https://youtu.be/DvJZoLn3cVM
  3. F

    JamiiForums Tanzania MAMA SAFELIFE - Kifaa cha Wanafunzi wa MUST cha Kusaidia Uzazi salama

    Habari wakuu, Mwanafunzi Gibons Jack Mwasabwite, Founder wa MAMA SAFELIFE kutoka MUST – DBEE. Amewasilisha mfumo huu kwenye Maonesho ya Elimu Ujuzi na Ubunifu Tanga 2026. Amebuni kifaa cha kuvaa mkononi kinachofuatilia afya ya mama mjamzito Pamoja na mfumo wa ufuatiliaji wa mama baada ya...
Back
Top Bottom