wao watajenga kiwanda ambacho kitakua kina process hizo bamboo kabla ya kupelekwa china, so bamboo watakua wana nunua kutoka kwa watu wenye mashamba ya bamboo.
Kuna kazi ya kampuni flani ya mkoani tunafanya so nahitaji kua na wanasheria ili kuweza kutimiza baadhi ya majukumu yetu
0693959469
info@fmzixun.co.tz
Ofisi ipo mtaa wa Mapambano14, Kishapu street, Kinondoni, Dar es salaam.
Nina mteja wangu anataka eneo la kujenga kiwanda cha bamboo Iringa, mwenye eneo Iringa hasa ambalo lipo karibu na bamboo itakua vizuri sana, au dalali yoyote aliyopo Iringa tuwasiliane.
0693959469
tunafsiri lugha ya kichina.中文 , pamoja na lugha ya kijapani 日语
kama una document ipo kwenye lugha ya kichina au Kijapani na unataka iwekwe kwenye lugha ya kiswahili au kiingereza basi njoo nayo ofisini kwetu na sisi tutakusaidia kuku tafsiria.
pia kama kuna mchina unafanya naye biashara lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.