Recent content by FMuhomi

  1. F

    Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu kurudishwa kwa gari la KUB alilokuwa anatumia Mhe. Mbowe, yasema hajanyang'anywa

    Nakumbuka miaka ya 2005 mpaka 2010 Dr. Wilbroad Slaa akiwa Mbunge aliwahi kuwekewa vifaa vya kunasa taarifa zake chini mwa uvungu wa kitanda...sasa Mbowe kuwa makini na hilo gari lisije wekwa vifaa vya kukusanya taarifa zako.
  2. F

    Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

    FBI na Scotland Yard watatumia satelite zao na kubaini hao wauaji. Wataonekana walitokea wapi, na baada ya tukio hilo walielekea wapi. Ruhusuni upelelezi huru ili hawa waovu waje kujulikana. Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
  3. F

    CUF wavunja UKAWA Geita na kusimamisha wagombea majimbo ya CHADEMA jimbo la Geita na Geita mjini

    Rogers ni ndumila kuwili...huyu alikuwa mgombea kupitia ACT Wazalendo
  4. F

    Jimbo la Geita mjini na Serengeti ni mali ya CHADEMA

    Geita Mjini nasikia ni ngome ya Chadema, magufuli alipokelewa kwa vidole viwili katika ziara yake...
  5. F

    Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

    Someni historia ya Lissu 2010, alipoutaka Ubunge, ni kweli alisema list ya mafisadi aliiandaa yeye....
  6. F

    Kakobe ni nabii wa kweli

    Mwaka jana, 31 March 2014, Askofu mkuu wa Full Gospel Bible Fellowship, Zackary Kakobe, aliandika barua yenye ujumbe wa Mungu juu ya anguko la CCM mwaka 2015....huyu alitabiri na yametimia.
  7. F

    Yaliyojiri Mkutano wa UKAWA na Wahariri, Makao Makuu ya CUF

    Lowassa ni mfano wa Jiwe lililokataliwa na waashi (CCM) na sasa jiwe hilo linaelekea kuwa jiwe kuu la pembeni katika kuimarisha maendeleo ya uchumi katika nchi hii....kwa kuwa ni mtu mwenye maamuzi magumu...
  8. F

    Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    Ma box ya pembeni yasikutishe mkuu, nimejaribu kufanya analysis kwa kulinganisha mwaka wa fedha wa budget uliopita (2013/2014) na mwaka huu tunaoenda kuuanza wa budget (2014/2015) kwa kuonyesha ni kwa jinsi gani punguzo la asilimia 1% linatoa ahueni kiduuuchu ya kodi, yaani Tshs 1,900 kwa mwezi...
  9. F

    Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!

    Kila Mfanyakazi apata ahueni ya TShs 1,900 kwa mwezi ambayo ni sawa na TShs 63 kwa siku. Nafuu ya Kodi Nafuu ya Kodi Mwaka wa Fedha 2013/2014 Mwaka wa Fedha 2014/2015 Kwa Mwezi Kwa siku Mshahara 750,000 Mshahara...
  10. F

    Kwenu Kinana na Nape - Tuelezeni haya

    Hali ya uchumi wa Mtanzania wa kijijini ni duni sana, ukiwa mjini mzunguko wa pesa walau upo, unaweza kufanya biashara yeyote Dar ukatoka kimaisha, ukikata majani ukayarundika barabarani utapata mnunuzi, watu wanatajirika kwa kuuza maji, ndio maana asilimia kubwa ya vijana wa vijijini wanaona ni...
  11. F

    Naibu waziri wa serikali za mitaa Malawi (Godfrey Kamanya) ajiua nyumbani kwake

    Alishazoe kukanyaga kapeti jekundu......sasa akaona kukanyaga tiles itakuwa noma
  12. F

    Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Biblia Takatifu katika kitabu cha Mathayo 10:28 inasema "Usiwaogope wao wawezao kuua mwili wako; lakini hawawezi kuua roho yako. Muogope Mungu pekee awezaye kuangamiza roho na mwili katika jehanamu. In English "Don't be afraid of those who want to kill your body; they cannot touch your soul...
  13. F

    TUNDU LISSU ni kifaranga, kwanini mwenye kifaranga chake anajificha..?

    Huyu dada, juliana shonza pale chuo kikuu mlimani alikuwa mlokole na mwanachama wa casfeta tayomi, shetani amemuangusha dhambini na sasa anamtumikia ibilisi kuikandamiza haki ya mtanzania. Amekuwa kama yuda iskariaote, aliyemuuza yesu kristo kwa vipande thelathini, leo hii ameiuza haki ya...
Back
Top Bottom