Naibu waziri wa serikali za mitaa Malawi (Godfrey Kamanya) ajiua nyumbani kwake

Malawi's Deputy minister for Local Government Godfrey Kamanya killed himself in the wee hours of Thursday over suspected political disagreements with his colleagues in the People's Party. Mr Kamanya failed to retain his parliamentary seat in the just ended elections. More details visit: Daily Nation: Home - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports, Blogs, Photos, Videos

Haya maisha ni matamu siwezi jiua kisa - kushindwa uchaguzi

Let him rest in hell and hosted by Mr. Devil
 
Blantyre - Malawi election officials have had to
resort to fax and email to tally votes from this
week's election after the electronic system broke
down, delaying the release of any results, the chief
elections officer said on Thursday.
The system "is refusing to take the information from
the ground where our data clerks are stationed to
send the results", chief elections officer Willie
Kalonga told AFP two days after the vote.
As a "back-up solution", officials in the southern
African country's 28 districts were sending the
results manually via fax and email to the national
elections centre in Blantyre.
The Malawi Electoral Commission (MEC) has not yet
released any preliminary results after Tuesday's
tight-run polls, which pit incumbent Joyce Banda
against her rival and predecessor's brother Peter
Mutharika.
The military was deployed to restore calm after
irate voters set alight voting stations when election
materials were unavailable and some bureaus
opened 10 hours late.
Voting spilled into an unscheduled second day on
Wednesday at 13 voting stations, and thousands
queued to cast their ballot.
Around 7.5 million people were eligible to vote in
the fifth democratic elections since the end of
dictatorship 20 years ago.
The MEC will only announce results when 30% of the
votes have been counted, and is currently "not
anywhere in the neighbourhood" of that figure, MEC
chairman Maxon Mbendera said on Wednesday.
AFP......? YALE YALE ya Kenya.
 
Na hapa kwetu nategemea Maccm watajiuwa wengi sana 2015 kwasbb ni wachache mno watakarejea Bungeni. UKAWA pigeni kazi tujetushuhudie wabunge mizigo watakavyojinyonga.
 
Naibu waziri wa serikali za mitaa wa Malawi amejipiga risasi na kujiua nyumbani kwake mjini Lilongwe.
Godfrey Kamanya alikuwa anayegombea kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Nzonzi Kusini amejiua alfajiri ya leo katika mojawapo ya vyumba vya nyumba yake iliyopo Area Ten mjini Lilongwe.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali kuu ya Kamuzu mjini humo, na jeshi la polisi litatoa taarifa rasmi ya kifo hicho baada kukamilisha uchunguzi.
Haijajulikana sababu za Kamanya kujiua japokuwa ameacha barua ya maelezo ambayo polisi wataitoa baadae.
Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana.
Afisa mkuu wa uchaguzi, amesema kuwa mfumo wa elektroniki umeharibika na maafisa wanatumia matokeo kwa njia ya barua pepe.
Source:BBC
Hapa kwetu ndugu jamaa na marafiki mjiandae kisaikolojia maana 2015 tutapoteza wanasiasa wengi wa CCM kwa stail kama ya huko malawi.
 
Tulizoea kuona mtu anakuwa mbunge au diwani kwa awamu mbili na kuendelea. Kwa hali ya sasa hili linaweza kuwa ndoto kwa wengi. Ni hali mbaya zaidi kwa wale walioshika madaraka na kutumia mamlaka yao vibaya. Tunapoelekea 2015 mlio kwenye nafasi hizo mjipime vizuri. Ni bora ukaacha kabisa kugombea ukiona stamina yako ya kuhimili kushindwa ni ndogo msije ishia kama huyu wa Malawi.

Source: BBC Swahili
Naibu waziri wa serikali za mitaa wa Malawi amejipiga risasi na kujiua nyumbani kwake mjini Lilongwe.
Godfrey Kamanya alikuwa anayegombea kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Nzonzi Kusini amejiua alfajiri ya leo katika mojawapo ya vyumba vya nyumba yake iliyopo Area Ten mjini Lilongwe.

Haijajulikana sababu za Kamanya kujiua japokuwa ameacha barua ya maelezo ambayo polisi wataitoa baadae.Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali kuu ya Kamuzu mjini humo, na jeshi la polisi litatoa taarifa rasmi ya kifo hicho baada kukamilisha uchunguzi.

Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana.
 
Malawi's Deputy minister for Local Government Godfrey Kamanya killed himself in the wee hours of Thursday over suspected political disagreements with his colleagues in the People's Party. Mr Kamanya failed to retain his parliamentary seat in the just ended elections. More details visit: Daily Nation: Home - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports, Blogs, Photos, Videos

Haya maisha ni matamu siwezi jiua kisa - kushindwa uchaguzi

huyu hapa tena kijana kabisa sijui alifikilia nini, ok Mungu amurehemu kadri ya matendo yake..
hqdefault.jpg
 
Naibu waziri wa serikali za mitaa wa Malawi amejipiga risasi na kujiua nyumbani kwake mjini Lilongwe.
Hapa kwetu ndugu jamaa na marafiki mjiandae kisaikolojia maana 2015 tutapoteza wanasiasa wengi wa CCM kwa stail kama ya huko malawi.

Wacha wee! Wacha kabisa bana........wataondoka wengi eeh? Baelazee dii!
 
Naibu waziri wa serikali za mitaa wa Malawi amejipiga risasi na kujiua nyumbani kwake mjini Lilongwe.
Godfrey Kamanya alikuwa anayegombea kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Nzonzi Kusini amejiua alfajiri ya leo katika mojawapo ya vyumba vya nyumba yake iliyopo Area Ten mjini Lilongwe.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali kuu ya Kamuzu mjini humo, na jeshi la polisi litatoa taarifa rasmi ya kifo hicho baada kukamilisha uchunguzi.
Haijajulikana sababu za Kamanya kujiua japokuwa ameacha barua ya maelezo ambayo polisi wataitoa baadae.
Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana.
Afisa mkuu wa uchaguzi, amesema kuwa mfumo wa elektroniki umeharibika na maafisa wanatumia matokeo kwa njia ya barua pepe.
Source:BBC
Hapa kwetu ndugu jamaa na marafiki mjiandae kisaikolojia maana 2015 tutapoteza wanasiasa wengi wa CCM kwa stail kama ya huko malawi.

haiwez tokea hpa labda chama cha wachaga
 
bora ameshindwa maana serikali inahitaji watu majasiri sio wanajitoa roho
 
Harufu ya kujinyonga kwa yule mbunge mnene kupita kiasi, bingwa wa kusinzia mjengoni na mkurugenzi wa bendi ya mipasho ya Ccm inanukia kama akiukosa ubunge. Tusubiri alisema atakimbilia msituni serikali 3 ikipita!
 
Huyu jamaa natumaini angeukwaa uraisi angeuwa watu wengi sana nchini mwake! Once Goes Around! Comes Around!
 
Ukisikia tu kuwa hiyo electronic voting system inashindwa kukusanya data toka vijijini na kura zinahesabiwa manually ujue kuwa serikali iliyomadarakani inaelekea kushindwa na hivyo wanachakachua votes!!! Hizo mashine zilishindwa Kenya na Raila akaibiwa kura na sasa Malawi itakuwa hivyo hivyo na mwaka kesho magamba watalilia kutuamia hiyo biometric voting system ili wachakachue kura!! Wapinzani Tanzania lazima wawe macho kwa hili!!!
Kweli Mkuu. Hata Marekani,George Bush alishinda awamu ya pili baada ya mashine kuharibika na kura kuhesabiwa kwa mikono!
 
Yaani maisha yake hayakuwa na thamani kuliko hiyo nafasi ya uogozi alioikosa? (Tena inaonekana ni ubunge) kwa wapumbavu yuko among the best. maisha ni kupanda na kushuka ( he should have read his bible especially the book of Job.)
 
Hivi kazaliwa na huo uwaziri au niseme nini? Ushamba huu. Such a young man with immature brain, soul and mind.
 
Back
Top Bottom