Recent content by Fmewa

  1. F

    Mabati ya Migongo mipana yanauzwa

    Ok nakushukuru kwa concern yako. Lakini mimi nimeweka post hii ikiwa ina details zote. Habari ya research nisingependa kuiongelea lakini kama unaona bei ni kubwa na unahitaji ni bora ungepiga simu au ungesema kile ambacho wewe unakifahamu. Kwa taarifa yako mabati hayo bei yake ni sh 42,000 hadi...
  2. F

    Mabati ya Migongo mipana yanauzwa

    Kwa wale wanaohitaji nimeweka namba ya simu hapo
  3. F

    Mabati ya Migongo mipana yanauzwa

    Hallo. Habari za kutwa. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Napenda kuwajulisha wale wanaojenga kuwa kuna mabati ya migongo mipana yanauzwa. yapo kama mabati mia moja yana urefu wa mita tatu (futi 10 na upana sentimita 100) rangi yake ni blue na bei yake ni sh 40,000 kwa bati moja. Ni mabati...
  4. F

    Mabati ya migongo mipana yanauzwa

    Hallo. Habari za kutwa. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Napenda kuwajulisha wale wanaojenga kuwa kuna mabati ya migongo mipana yanauzwa. yapo kama mabati mia moja yana urefu wa mita tatu (futi 10 na upana sentimita 100) rangi yake ni blue na bei yake ni sh 40,000 kwa bati moja. Ni mabati...
  5. F

    Pata Toyota Passo kwa Sh. 6.9mil

    Sasa Unaweza kupata gari la ndoto yako. Pata gari TOYOTA PASSO kwa kiasi cha Tshs 6.9milion tu. Hiyo ni bei ya kulipia kila kitu na kulitoa bandarini. wasiliana nasi kupitia www.agizamagari.blogspot.com agizamagari@yahoo.com Karibuni sana
  6. F

    Nunua magari yaliyofika bandarini

    Habari zenu wanajamvi na watanzania wote. Kuna magari mengi yamefika bandarini Dar Es Salaam. Ebu angalia baadhi ya magari yaliyopo bandarini kwa sasa. angalia link hii www.facebook.com/pages/Agiza-Magari/428343203933915?fref=ts kwa yeyote ambaye yupo tayari kuyanunua tuwasiliane kupitia...
  7. F

    Magari yaliyofika bandarini

    Habari zenu wanajamvi na watanzania wote. Kuna magari mengi yamefika bandarini Dar Es Salaam. Ebu angalia baadhi ya magari yaliyopo bandarini kwa sasa. angalia link hii www.facebook.com/pages/Agiza-Magari/428343203933915?fref=ts kwa yeyote ambaye yupo tayari kuyanunua tuwasiliane kupitia email...
  8. F

    Nunua Magari toka Japani kwa bei nafuu

    Habari za jion ndugu zangu wapendwa. Poleni na majukumu ya kutwa nzima. Napenda kuwakaribisha wale wote wenye shauku ya kumiliki magari yao kuwa sasa unaweza kupata gari/magari toka Japan kwa bei nafuu kuliko kununua kutoka kwenye yard za hapa kwetu. Hii ni kwa sababu magari mengi yanayouzwa...
  9. F

  10. F

    Agiza gari kutoka Japan kwa bei nafuu

    Habari za jion ndugu zangu wapendwa. Poleni na majukumu ya kutwa nzima. Napenda kuwakaribisha wale wote wenye shauku ya kumiliki magari yao kuwa sasa unaweza kupata gari/magari toka Japan kwa bei nafuu kuliko kununua kutoka kwenye yard za hapa kwetu. Hii ni kwa sababu magari mengi yanayouzwa...
  11. F

    EXPERT SWAG TABLETS FOR SALE,280000/=(only 3 left)

    Je hii kitu ni mpya au used? ipo ktk condition gani?
  12. F

    Panasonic 3D Blue Ray home cinema inauzwa from UK

    Model yake ni TH-G61
  13. F

    Panasonic 3D Blue Ray home cinema inauzwa from UK

    Thanks. je kama nikihitaji JVC home theatre naweza kupata kama hii hapo chini? na inaweza kuwa shilingi ngapi?
  14. F

    Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

    kuna hii iPad nimeiona ebu naomba unisaidie kuniambia gharama zake zote ikiwa ni shipping pamoja na commision yako ni kiasi gani Apple iPad 2 16GB Wi Fi 9 7in Black MC769LL A 5052181577463 | eBay
  15. F

    Asante Mungu, asante JF. Nimepata ajira!

    Hongera ndugu kwa kupata kazi. Mshukuru Mungu na uwasaidie wengine. usiasahau mahali ambapo Mungu amekutoa. Na hata kwa wale mnaotafuta kazi usikate tamaa unapoona mtu anafanikiwa hivi maana yake ni kuwa na wewe ipo siku utafanikiwa. Hata mimi pia niliwahi kupata kazi kupitia matangazo ya hapa...
Back
Top Bottom