Recent content by flynn05

  1. flynn05

    Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  2. flynn05

    Naomba msaada, kuna muda nachat na mtu mwingine ila naambiwa na mpenzi wangu kila tunachochat

    Hii sim ni yangu, na mara kadhaa nakua nay mm, ila juz ndo nlimpa mda mchache bdae nkachukua...sas usiku wa kuamkia leo, nlikua nachat na mwingn ko akanambia ila bdae akatum mpk mesej zot
  3. flynn05

    Naomba msaada, kuna muda nachat na mtu mwingine ila naambiwa na mpenzi wangu kila tunachochat

    Nisaidie namn ya kufanya, maana nlikataa ila nkaanza kuwaza imekuaje au kam naweza na mimi nimfanyie ivo
  4. flynn05

    Naomba msaada, kuna muda nachat na mtu mwingine ila naambiwa na mpenzi wangu kila tunachochat

    Ee hata juzi alishika, ila toka juzi sijaonana nae, na jana nilikuwa nachat na mwingine halafu yeye akanitumia hizo msj karibia zote😥
  5. flynn05

    Naomba msaada, kuna muda nachat na mtu mwingine ila naambiwa na mpenzi wangu kila tunachochat

    Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kuwa hivi wakati flani, nilikuwa nakipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi niliyekua nae, nikawa naambiwa ila sikuzingatia maana nilijua haiwezekani, ila hili swala limejitokeza tena, mwanamke nilienae sasa hivi nae...
  6. flynn05

    Nimemaliza PEP miezi 6 iliopita baada ya kudate na muathirika kwa uhakika

    Huwezi kudanganya kuhusu afya... nina box la vipimo hata ghetto kwangu ilibid ninunue
  7. flynn05

    Nimemaliza PEP miezi 6 iliopita baada ya kudate na muathirika kwa uhakika

    Ilikua hali ngumu bngwa, ila now nko makini kwa kiasi changu
  8. flynn05

    Nimemaliza PEP miezi 6 iliopita baada ya kudate na muathirika kwa uhakika

    Baadhi ya watu wameniuliza kama zile dawa zilinisaidia, kiukweli baada ya matumizi sahihi ya PEP kwa mwezi mzima, nilipima punde tu baada ya kumaliza dawa ilikua mwezi wa 3 mwaka huu..nkawa NEG nkasubiri mpaka mwezi wa 6 napo nilipima tena ila majibu yakawa NEG na mwezi huu wa 9 pia nmepima...
  9. flynn05

    Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

    Naomba kuuliz je pale call forward, kweny sim yang je nkiwek namba ya mke wang je sim ztakua zinaend kwake, au zake ndo ztakua zinapigwa kwang?
  10. flynn05

    Siku 32 baada ya kumaliza PEP

    Alisem yuko iv anatumia daw na wadudu hawasomek
  11. flynn05

    Siku 32 baada ya kumaliza PEP

    Kile cha mate au nipime cha damu
Back
Top Bottom